Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.
Chukueni hatua...
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa Jana Kuna movie Moja ya Ki-Nigeria...
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!.
yeye akilewa ni amapiano Tu!.
atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi...
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya...
Mpaka sasa Elie Mpanzu Kibisawala (striker) ana asilimia nyingi za kutua Yanga.
Philip Kinzumbi (winga) ameshawekewa ofa ila Raja nao wameweka ofa mezani.
Mpaka sasa kila kitu kipo kwenye...
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.