Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
Nafanya kautafiti kadogo kutambua Uzalendo Wakati wa Vita na Uzalendo Wakati wa Anasa UPI ni Uzalendo sahihi mbele ya macho ya Mungu wa mbinguni
Kwa mfano 1978/79 watu waliwaacha Wapendwa wao na...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji:
Kuepuka andiko hili kuwa refu...
Pension za wastaafu za kila mwezi kutoka hazina mpaka leo tarehe 4 May hazijalipwa, je,zimepelekwa sikukuu ya wafanyakazi?
Hakuna asiyejua adha ya wastaafu,hasa wale wanayopata pension zao za...
TABAKA LA WAHAFIDHINA LINA MKWAMISHA RAIS MWINYI
Deogratias Mutungi
Nianze Makala haya kwa kurejea viongozi hawa nguli , Hastings Kamuzu Banda rais wa zamani wa Malawi, na Waziri Mkuu wa Zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.