Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari za jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
9 Reactions
74 Replies
1K Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
7 Reactions
132 Replies
2K Views
Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji: Kuepuka andiko hili kuwa refu...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
67 Reactions
370 Replies
11K Views
  • Poll
Nahitaji kufungua website kwa ajili ya biashara. Nimepitia baadhi ya nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na maswala ya website na aina zake nimepata mwanga angalau kidogo. Ila bado nina maswali kwa...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
21 Reactions
130 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na...
7 Reactions
89 Replies
2K Views
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda...
13 Reactions
106 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,554
Posts
49,578,187
Members
668,028
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom