Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao..
Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya...
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata.
Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria...
Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/=
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox 📥
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra...
Kwa barabara za mjini Dar, ujenzi wake ni kila mwaka, barabara hizi hujengwa kwa gharama kubwa, lakini kila mwaka zinatengeneza mashimo.
Ukiangalia zile barabara zilizojengwa na kampuni ya...
Kazi kuu ya Viongozi wa dini ni kuchunga kondoo wa Mungu, iwe Makanisani au Misikitini ama kwingineko.
Sasa hili la kupewa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje ya Nchi ni jambo jipya, na je...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.