Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sijawahi kutumia TikTok hapo kabla, ni jana tu nimejiunga huko mjini TikTok. Hii ni baada ya mshikaji wangu mmoja mara kibao amekuwa akiniambia kuwa kule kuna vichekesho ambavyo kama huna mbavu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wengi wanaopenda kusema hii kauli ya TAFUTA HELA ni mafukara wazuri tu na ndio maana kuna muda naiona miyeyusho.
0 Reactions
5 Replies
45 Views
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee... wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani...
1 Reactions
19 Replies
172 Views
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo. Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri...
1 Reactions
33 Replies
300 Views
  • Suggestion
Ziwa Victoria, ziwa kubwa zaidi la maji baridi barani Afrika na ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya , linatumika kama mshipa muhimu kwa Tanzania. Eneo lake kubwa la maji hutoa manufaa mengi...
0 Reactions
2 Replies
41 Views
Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
22 Reactions
143 Replies
9K Views
Shida iko wapi?? Au ni msimu wa kutoridhishana??
1 Reactions
2 Replies
24 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA. Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa...
0 Reactions
17 Replies
331 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,747
Posts
49,554,276
Members
667,631
Latest member
petro isamba
Back
Top Bottom