Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
MKAKATI WAANZA VIJIJI USHETU KUUNGANISHIWA MAJI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Kundo Mathew amesema Wilaya zote zilizopo katika Mkoa Shinyanga tiyari zimekwisha kupatiwa maji kutoka ziwa Viktoria...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
1 Reactions
16 Replies
228 Views
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA. Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo...
15 Reactions
58 Replies
1K Views
Match Day. NBC Premier League. Simba vs Mtibwa Azam Complex 04.00 PM Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa...
5 Reactions
59 Replies
615 Views
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze Mke anavutia sna napatwa na wasi...
30 Reactions
137 Replies
1K Views
Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
4 Reactions
39 Replies
600 Views
Salaam enyi wanachama wa kataa ndoa, Mimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa. Ime nibidi kuwa andikia tena wanachama wetu, ili kuzidi kushikilia misimamo na utaratibu wetu wa kukataa ndoa. Lakini...
1 Reactions
15 Replies
22 Views
Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa...
2 Reactions
11 Replies
65 Views
Habari ndugu zanguni, Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa...
1 Reactions
23 Replies
405 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,810
Posts
49,555,554
Members
667,656
Latest member
WhiteShadow
Back
Top Bottom