Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
Taarifa kamili kutoka ndani ya makao makuu ya chama zinasema kuwa chama hiko kwasasa hakiwezi kuwa pamoja either mmoja kati ya Mbowe au Lissu aondoke ndani ya chama hicho.
Mzozo mkali umeibuka...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Maelezo yake kwenye clip hapo chini, dakika ya tisa na kumi, yanaonesha kuwa anahisi kuwa alichangia kuwafanya Watanzania kuwa waoga.
Anasema kuwa haikuwa nia yake kulijenga Taifa la watu waoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.