Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habarini za asubuhi? Kuna mtu anataka kuniuzia simu, anasema ni iPhone 15 pro max. Nimemwomba anitumie picha zake ni kama sikuelewi hivi. Niombe mwenye uelewa wa simu hii aniambie aina yake...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Suggestion
kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili...
0 Reactions
1 Replies
16 Views
  • Suggestion
STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4) Andiko linausu tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni; Afya...
1 Reactions
2 Replies
22 Views
Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
12 Reactions
93 Replies
2K Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
9 Reactions
83 Replies
1K Views
Watu Wengine Wanakufa Kabla ya Wakati Kibiblia, kuna vifo ambavyo havistahili kutokea kwa mwanadamu, isipokuwa kutokana na sababu za kiroho, yaani za kiimani. Hii ni kutokana na kutokuwa timilifu...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
  • Suggestion
Salaam Wanajamvi Kuelekea ujenzi wa Tanzania ile tunayotaka, Mimi napenda kuchangia mawazo yangu na kufungua mjadala katika suala zima la utatuzi wa ajira hapa nchini. kati ya changamoto kubwa...
2 Reactions
3 Replies
90 Views
Habari ndugu zanguni, Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
JE UNAZIJUA FAIDA ZA KUTUMIA ALOE VERA GEL, KWA MWILI WAKO?. Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA . 1. Ina Amino acids Zaidi ya 18, ambapo 7 kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,645
Posts
49,552,150
Members
667,564
Latest member
Imani Racton Felecian
Back
Top Bottom