Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Nililazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba binti yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikuwa simu ya pili anapasua kwasababu za kijinga eti kwanini sipokei simu...
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na genge lake la kihuni lenye nia ovu ya kuleta machafuko nchini kupitia suala la Muungano. Anachokifanya...
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.