President Kikwete and President Bush at the Ocean Road Cancer Institute where they took part in a tele conference with other dignitaries in the US during a World Aids day meeting at the...
Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30.
Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25.
Nakumbuka...
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini.
Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki.
Unfortunately maneno yamenza mara...
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel).
Maafisa wa polisi...
Wakati sherehe za ubingwa WA bonanza wa MUUNGANO zinaendelea faham kwamba Simba siyo Tena Klabu ya Tano Africa wako NAFASI ya saba, baada ya Zamalek na Rs Berkane kufuzu fainali wanakuwa juu ya...
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa...
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!
Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
Hapa nchini viongozi wote wakubwa huwa wanawekwa viti vya kukalia vyenye utofauti na watendaji au washiriki wengine wanapokuwa katika matukio mbali mbali ya kikazi yanayohitaji vikao.
Ukiingalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.