Hapa naangalia mechi ya CAF ya Confederation wanacheza Dream (DFC] ya naija wapo homeground wameshakula chuma 3-0 dhidi ya mafarao wa Zamalek.
Ukiangalia makosa ni yaleyale ya siku zote kama timu...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.
Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
Habari wakuu,
Nishashiba pilau, niende moja kwa moja kwenye mada ya Uzinzi hufanyika zaidi siku za sikukuu.
Ndio nasema Sasa kama unabisha nenda nyumba za kulala wageni kama utakuta Kuna chumba...
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa Mipira wa Miguu, nashauri Serikali kufanya haya ili kuboresha kiwango cha mpira nchini, na hata ushiriki wetu kwenye mashindano yajayo ya AFCON,2027 yatakayo...
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani...
IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI
Wakili wa IPTL, Leonard Manyama
KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki...
CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO.
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO
Unapojiingiza katika mahusiano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.