Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
-...
Kwanza kabisa Rais mwenyewe kwa matendo na maneno ameonyesha kuwa hataki habari za uchawa. Lakini machawa hawaishi kumsifu kwa hata vitu vya kuchekesha kabisa. Leo hii jambo la kumsifia Rais...
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao )...
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
Jana usiku katika kusherehekea mambo ya muungano, ikabidi nitoke na bebi wangu tukaenda kiwanja kimoja; tukawa tunapiga maji yetu machungu kama kawaida yetu.
Kutokana na mazingira kuwa na 'vibe'...
VIONGOZI WA UWT WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda (MCC) akiwa na Viongozi wa UWT Taifa wameshiriki sherehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.