Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki . Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
8 Reactions
39 Replies
540 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko#
8 Reactions
71 Replies
893 Views
Vita vinavyoendele mashariki ya kati vinazidi kuchukua Hali tofauti, kwa upande Mmoja Israel pamoja na washirika wake yaani ulaya na marekani Wana Kuna vichwa jinsi gani wataweza kuimaliza vita...
4 Reactions
9 Replies
571 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Wadau poleni sana na mihangaiko ya j'mos. Kuna hili la kuandika matusi na maneno ya kejeli kwenye vyoo vya kulipia, unakuta ukutani pale pameandikwa matusi makubwa na maneno ya kejeli, kiukweli...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote, Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
6 Reactions
37 Replies
525 Views
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
4 Reactions
32 Replies
547 Views
1 Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa, Wataalumu mnipe siri...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
46 Reactions
216 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,044
Posts
49,505,326
Members
666,941
Latest member
Ayubu popati
Back
Top Bottom