salamu wanandugu,
Kama kichwa cha uzi .
Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.
kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU...
1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
kuna hii fursa imejitomeza huko TAESA, nimeona nisiwe mchoyo ni waletee humu ili MADEREVA wenye vigezo mkajaribu bahati yenu hii fursa bwana ni mkataba wa mwaka mmoja.
kama upo Dar es salaam...
IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI
Wakili wa IPTL, Leonard Manyama
KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki...
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi...
Hapa koffi olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.