Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Habari wanaJamiiForums..!!
Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.
We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na...
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio...
Tumeona video waziri wa Ulinzi wa Isreal akipata jali ndogo anahema anatetemeka wote huku akionekana kama amezimia kwa mshtuko. inaonekana kachanganyikiwa baada kigari kidogo kugeuza njia na klala...
Habari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.