Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasalaam. Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao...
26 Reactions
100 Replies
5K Views
Mamlaka tunaomba mfuatilie habari hizi vinginevyo jamii yetu inaharibika. Ikumbukwe Ile ni Hoteli ya Kanisa la RC na Iko kwenye eneo la kabisa na la kutolea mafunzo na kulea watawa. Japo mambo...
2 Reactions
17 Replies
44 Views
Habari wana jamii forums [emoji1366] Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa? For...
6 Reactions
37 Replies
439 Views
Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi...
18 Reactions
131 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Patrick Nyembera ni mmoja kati ya wachambuzi wa michezo nchini ambaye anafanya kazi hiyo Azam Media. Na mara zote amekuwa ni Commentator wa masumbwi ambayo kwa Azam wanaita Vitasa. Katika...
1 Reactions
6 Replies
86 Views
Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa. Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
7 Reactions
52 Replies
505 Views
Hivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli? Kulikoni? Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa...
9 Reactions
32 Replies
357 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji Lissu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji...
16 Reactions
88 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,404
Posts
49,774,247
Back
Top Bottom