Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao Source Jambo TV Yajayo yanafurahisha😀...
3 Reactions
103 Replies
3K Views
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
2 Reactions
64 Replies
849 Views
Mko salama wapendwa? imekuwa kitambo sana jamani leo nikasema nimepata kaupenyo kidogo wacha niwajulie hali😉😉 Nimewakumbuka sana marafiki wangu wa JF😍 Nikipata tena upenyo nitakuja kuleta uzi wa...
28 Reactions
108 Replies
764 Views
Hii sijui ni tetemeko au ni kitu gani, wataalamu tunaomba mfuatilie na mtupatie majibu, Ardhi inapasuka na nyumba zinabomoka, eneo ni Saku Mwisho DSM --- Taharuki imeibuka kwa wakazi wa Mbagala...
8 Reactions
88 Replies
4K Views
Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii...
1 Reactions
6 Replies
120 Views
Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko ?
2 Reactions
17 Replies
325 Views
Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Kauli ipi ilikishangaza toka kwa Kondakta wa Daladala?
1 Reactions
14 Replies
180 Views
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa. Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni...
8 Reactions
32 Replies
622 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,064
Posts
49,737,204
Back
Top Bottom