Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni.
Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali...
Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni...
Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku
Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa...
Nipo mapumziko mkoani Tabora wakuu, tetemeko ndio kwanza limemalizika kupita hapa mkoani Tabora.
Vipi huko kwenu hali ipoje, na hakuna madhara..?
Pia soma Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi...
Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana...
👉WAISLAMU 🕌husema UKRISTO ni DINI ya UONGO✔️
👉WAKRISTO ⛪husema UISLAMU ni DINI ya UONGO.✔️
SASA MIMI NAKUBALIANA NA WOTE KWAMBA UISLAMU🕌 na UKRISTO⛪ Ni DINI za UONGO✅
Watu wengi ukiwauliza...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.
Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.