kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu.
Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
Jicho langu:Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki
Klabu ya Tabora united katika mchezo wa jana walinyimwa goli la halali katika mchezo wao waligi kuu ya NBCPL waliocheza na Simba katika...
Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa.
kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika...
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi...
1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!"
2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk.
3. Kuna azimio...
Daraja la Mabatini Mwanza. Jamaa kajirusha. Inasemekana jamaa alikuwa akimsomesha mchumba wake Mwanza. Sasa aliamua kuja kumtembelea akakuta hakuna cha chuo bali kakuta kumbe binti keshaolewa na...
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu
Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni
Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.