Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
15 Reactions
72 Replies
1K Views
Chekechea na Primary nimesoma english medium private Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
3 Reactions
11 Replies
27 Views
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
1 Reactions
6 Replies
70 Views
Salaaam. Wakuu mi naona hakuna haja ya kufanya tendo la ndoa kabla hujaoa/kuolewa. Unakuta mtu yupo na girlfriend au boyfriend wake kwa muda na kwa lengo la kuja kuona ajabu asilimia75%...
14 Reactions
538 Replies
37K Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
69 Reactions
300 Replies
7K Views
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
9 Reactions
86 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana amezungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika Dodoma akiangazia masuala mbalimbali ikiwemo hoja mbalimbali zilizoshika kasi hivi karibuni...
2 Reactions
5 Replies
98 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
46 Reactions
239 Replies
7K Views
Mi binafsi ule wimbo wa Diamond uitwao Baikoko nikiuweka kabla sijaanza shughuli ni Kama vile unaniamshia mzuka na kunifanya niendelee na game kwa muda mrefu. Vp nyie wenzangu ni song gan...
4 Reactions
14 Replies
220 Views
13 APRIL 2024 1 MIN READ South Afrika yaongoza duniani kwa kuwa na wanawake wenye viuno pana na umbo la kuvutia Afrika Kusini ilishika nafasi ya kwanza, ikiwa na wastani wa nyonga ya inchi 41.73...
7 Reactions
84 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,470
Posts
49,575,739
Members
667,972
Latest member
Gift Estomy Petro
Back
Top Bottom