Nimewaza tu, binadamu wote huwa na chromosome 46 katika viini vya seli zote mwilini, katika hizo 46, 23 hutoka kwa baba yake na 23 zingine hutoka kwa mama yake; pale mbegu inapoungana na yai ndio...
Sitafuti kuwa mkamilifu kwenye Kiingereza, ila nimekataa kuwa chini ya "level" 5.
Kuhitimu Chuo Kikuu si tiketi ya kuongea lugha kwa ufasaha. Hata wazawa wa "English" kuna ambao bado...
Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May...
Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii.
Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter.
Humo ndani j...
Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya...
Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana.
Wenzangu mmewahi kumbana na hili?
Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG
Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.