Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa. Zitto Kabwe amekubaliana...
1 Reactions
55 Replies
775 Views
Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
253 Replies
30K Views
Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini...
22 Reactions
124 Replies
9K Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
22 Reactions
110 Replies
3K Views
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
24 Reactions
286 Replies
16K Views
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
7 Reactions
129 Replies
4K Views
Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
14 Reactions
169 Replies
6K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
85 Reactions
643 Replies
17K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,561
Posts
49,578,458
Members
668,043
Latest member
Frank_1
Back
Top Bottom