Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
0 Reactions
11 Replies
159 Views
Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
4 Reactions
3 Replies
67 Views
  • Poll
Kuna huduma muhimu zinapaswa kupatikana kwa gharama ndogo sana kwasababu ya unyeti wake na athari zake kwa Nchi na Uchumi. Mfano huduma ya Intaneti, Matibabu na Elimu kwa ujumla wake. Hizi huduma...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
66 Reactions
363 Replies
11K Views
Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki. Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu...
16 Reactions
58 Replies
2K Views
Wakuu,, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shi ngap kuchangia kila mwezi
0 Reactions
3 Replies
78 Views
Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao...
6 Reactions
28 Replies
751 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,547
Posts
49,578,107
Members
668,027
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom