Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra...
1 Reactions
15 Replies
65 Views
Tanzania ni kati ya nchi za Duniani ambayo ina unafuu mkubwa wa maisha na fursa lukuki ukilinganisha na mataifa mengine ni kutuliza tu akili yako kusaka ramani , Wapo vijana ambao...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi?
0 Reactions
7 Replies
114 Views
Endelezeni kunywa mtori Nyama mtazikuta chini Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema taifa utafichua Siri nyingi sana kama busara haitachukua Nafasi yake Kuna mambo Mengi yaliachwa kwenye mabano huko...
0 Reactions
3 Replies
154 Views
Siasa ni mchezo fulani hivi na mara nyingi safu za Uongozi wa Upinzani hupangwa na CCM. Ndio sababu Zitto Kabwe alipotaka kwenda CCM akawe Waziri, Rais wa Wakati Ule alimwamuru asubiri kwanza...
0 Reactions
4 Replies
26 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu...
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Challenge kwenu wadau
0 Reactions
20 Replies
223 Views
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is...
3 Reactions
7 Replies
140 Views
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar. Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
0 Reactions
23 Replies
217 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,862
Posts
49,557,605
Members
667,686
Latest member
Shagihelo
Back
Top Bottom