Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
Wakuu,
Binafsi huwa na Bet sana na bahati nzuri nimemuotea muhindi kama Milioni 40
Na sasa nataka kubet kwenye kilimo
Mwaka huu naingia shambani kweli kweli sio utani, naingia FRONT na sio simu...
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU
Na, Suphian Juma Nkuwi.
Salaams Watanzania wenzangu,
Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu Mwenyekiti...
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
Bonjour,
Hapo Zanziba usipofunga unakandikwa bakora lakini kufiran.a ruksa. Unashangaa ?! Watakwambia suna yakhe.
Watu ma tamadudini za Arabia hasa hawa simbilisi weusi wavaa kanzu ni wanafiki...
Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa.
Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali...
Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa...
Sultan Tamba na kundi lake la Tamba Arts group ambapo humo ndani unakutana na waigizaji kama Riyama Ally, Mwajabu Kazimili (Bi Nyamisi),Rehema Msangule (Doreen Nsyuka),Sanjo,Ringo,Chilisosi, nk...
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu...
Kumekuwa na kero ya watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya saa kumi na mbili kasoro asubuhi siku za mapumzko wakati tumelala.
Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.