Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja...
3 Reactions
7 Replies
175 Views
Mnyonge mnyongeni, lkn haki yake mpeni. Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Ni misemo baadhi ambayo makonda inaweza kumfaa kuelezea namna alivyo. Makonda kama angekua kwenye movie basi ni wale...
3 Reactions
5 Replies
174 Views
Ikiwa leo ni Tarehe 2 May 2024, Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameongoza Maandamano Makubwa ya kupinga dhiki, Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Hali ndio kama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
0 Reactions
18 Replies
169 Views
  • Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
0 Reactions
3 Replies
95 Views
ULALAMISHI KUHUSU WABARA KUPATA ARDHI ZANZIBAR! Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, ... maana naona kuna watu, kwa...
0 Reactions
7 Replies
80 Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
6 Reactions
87 Replies
2K Views
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo...
138 Reactions
782 Replies
144K Views
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
10 Reactions
113 Replies
2K Views
Ndugu Mzazi/Mlezi wa JESSY MBOYE Taasisi yamfuko wa elimu na ufadhili TESA imemchagua mwanao kumdhamini kusomeshwa bweni kidato cha 5 na 6 kwa kumlipia ada yote isipokuwa mzazi/mlezi utachangia...
0 Reactions
6 Replies
96 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,475
Posts
49,547,590
Members
667,504
Latest member
limbaranguri
Back
Top Bottom