Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari. Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko...
31 Reactions
97 Replies
4K Views
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili...
1 Reactions
10 Replies
107 Views
https://youtu.be/Anpu1A8votA?si=98jTv4wJXuINnMdV Asisitiza Samia akane kama sio Mzanzibar? Amesoma katiba ya Zanzibar ikieleza Zanzibar ni nchi, kwa hiyo sio kweli Samia katoka nchini Zanzibar?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sultan Tamba na kundi lake la Tamba Arts group ambapo humo ndani unakutana na waigizaji kama Riyama Ally, Mwajabu Kazimili (Bi Nyamisi),Rehema Msangule (Doreen Nsyuka),Sanjo,Ringo,Chilisosi, nk...
11 Reactions
105 Replies
4K Views
Mzee alipata kuwa Jaji mkuu Makamu wa rais Waziri mkuu Mwanasheria mkuu wa serekali Na badae Tena akaja kuwa mwenyekit ya tume ya marekebisho ya katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
HAYA NDIO MAKABILA 125 YA TANZANIA ANDIKA NAMBA YA KABILA LAKO UWAJUE NDUGUZO 1. Waalagwa (pia wanaitwa Wasi) 2. Waakiek 3. Wameru 4. Waassa 5. Wabarabaig (pia wanaitwa Wamang’ati) 6. Wabembe 7...
2 Reactions
35 Replies
372 Views
Sawa inatokea umesababisha ajali umeua binadamu mwenzako umekimbia kukwepa kwenda jela na umebahatika hakuna aliyekuona. Huko nyumbani kwako utaishije? Unaingia mtandaoni unaona maelfu ya watu...
2 Reactions
32 Replies
442 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-3 Reactions
184 Replies
2K Views
Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
0 Reactions
4 Replies
39 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,831
Posts
49,529,150
Members
667,256
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom