Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani...
25 Reactions
99 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
1 Reactions
57 Replies
811 Views
Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia. Sifa zake Awe mwanamke...
20 Reactions
247 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda (MCC) ampokea Vyerehani 125 vilivyotolewa na Ubalozi wa China nchini Tanzania kwa lengo la kuimarisha uchumi wa wanawake nchini...
0 Reactions
9 Replies
131 Views
1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda. 2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
24 Reactions
6K Replies
121K Views
Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
4 Reactions
28 Replies
863 Views
Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza. Kuna magauni ya...
1 Reactions
3 Replies
52 Views
Ni Yanga au Simba?
4 Reactions
22 Replies
705 Views
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye...
1 Reactions
4 Replies
171 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,675
Posts
49,525,517
Members
667,194
Latest member
Enodius
Back
Top Bottom