Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii.
Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice.
Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita...
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona serikali inataka...
Hilo limethibitishwa nchini Ukraini katika uwanja wa vita ambapo vifaru maarufu vilijulikanavyo kama Leopard (kutoka Ujerumani), Challenger (kutoka Uingereza), pamoja na Abraham's (kutoka...
Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Ulizingatia umri wako na wake, nidhamu, heshima na utii, uaminifu, upendo, hekima, busara, fedha, mali, kazi yake, hali na maisha ya familia yake au cheo chake...
Au ulizingatia siha na tabia...
Habari za majukumu wakuu,
Nilikuwa natumia watsapp mods (Fouad mods), lakini ghafla ilianza kuwa na version nyingi nikaamua kuhamia watsapp official kuanzia majuzi, nilifuta Fouad mods...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.