Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu .
Cha kushangaza kumetokea...
Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodoma na Lumumba kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka.
Hiko hivi, watu wengi hawakuwa wakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito.
Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja...
Hello, wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi, makovu, weusi kwenye macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali kama hormones, jua, vyakula n.k...
Mwaka 2006 nlitembelea tabora kwa mara ya kwanza nikiwa nmepangiwa kituo changu cha kaz. Nlifikia lodge flan mitaa ya town kwa siku kama tano nlikuwa nalala pale. Nakumbuka ilikuwa ni majira ya...
Shalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo...
Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa inatoa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys).
Kulikuwa na jitihada kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.