Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?
Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini...
Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu.
Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba...
Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani
Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka...
katika harakati zangu za kisiasa, kura za maoni kivyama huko Jimboni, mara hiyo tupo mjini na, ni wakati wa kulala huko guest house.
Sasa miongoni mwa wakuu wa msafara alikuepo mtu mzima, lakini...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) inaendesha kambi maalumu ya siku tano ambayo inaokoa zaidi ya Bilioni moja kwa Watoto 40 ambao wangetakiwa kulipia matibabu ya upasuaji wa mshipa ya moyo...
Habari zenu wana jamii forums,
Samahanini nina ombi la kutaka kufahamu uuzaji wa gesi za majumbani au kuwa wakala wa gesi mfano orxy taratibu zipoje? Nianzie wapi mpaka niweze kufanya pia...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.