Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May.
Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Salaam, Shalom.
Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk.
Matumizi ya majiko ya...
Ni kipindi kirefu kimepita nikiwa nimekwama kuamua yupi ni mahiri zaidi kwenye uandishi wa nyimbo za dini kati ya Bahati Bukuku na Rose Mhando. Kwanza, Hawa wamama wana uwezo wa ajabu katika...
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.