Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini.
Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini...
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa nchini, ni dhahiri mgombea urais wa chama Tawala yuko bayana na anafahamika kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla, ni suala la muda tu waamue...
Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
Dr. Jose Chameleon aliivuruga...
Katika Vitabu vyote vya dini zote, Tumeambiwa Jinsi ambavyo Mungu aliumba dunia, ila hakuna hata mahari pamoja panapotuonyesha Mungu akiumba "Sheria" (Usininote Vibaya Ukadhani nazungumzia Amri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.