Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
3 Reactions
50 Replies
1K Views
Kwa nadharia, mpira wa miguu ni mchezo rahisi sana. Ila kiuhalisia, sio kweli ni mcheo mgumu na mchezo wa kikatili sana. Mchezo una sheria 17 pekee, lakini ni sheria ambazo utafsiri wake huwa ni...
2 Reactions
4 Replies
320 Views
Picha chini Ni mwonekano baada na kabla ya kufanyiwa oparesheni hiyo ya mdomo. Nini maoni yako, Kapendeza au hajapendeza?
3 Reactions
37 Replies
863 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
79 Reactions
527 Replies
12K Views
Wakuu, Watoto na michezo ni kama samaki na maji, wengi tushazama kwenye michezo mpaka tukaja kufatwa na fimbo huko tulipokuwa. Wakati mwingine mzazi mpaka anapata wasiwasi labda mtoto kapotea...
2 Reactions
89 Replies
2K Views
Hili walilofanya gazeti la mwananchi lilikuwa ni kusudio kuu la kujaribu kuzidi kumtukana Raisi Samia kupitia mtangulizi wake marehemu Magufuli. Kama walivyosema familia kila anayemdhihaki...
1 Reactions
7 Replies
216 Views
Mimi ni: Kijana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa...
10 Reactions
110 Replies
1K Views
Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini. Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini...
3 Reactions
20 Replies
183 Views
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi. Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
6 Reactions
84 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,843
Posts
49,496,610
Members
666,843
Latest member
elly sijo
Back
Top Bottom