Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
Introduction
Nimeamua kuanzisha uzi huu mahsusi unaohusu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kama njia ya kukienzi chuo hiki kikongwe na cha kipekee nchini Tanzania na duniani kwa ujumla...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.