Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto.
Big up kwa...
Hivi hatuwezi kupata Viongozi walau 20 Tanzania kama Makonda ili nchi isonge mbele . Katiba tuitakayo inatakiwa itupe viongozi kama Makonda aisee very inspiring and solving people's problems what...
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye...
Utangulizi
Burundi ni moja kati ya nchi ambayo ipo Mashariki Kusini mwa nchi ya Tanzania, Kaskazini imepakana na inchi ya Rwanda, Upande wa Magharibi imepakana na Inchi ya Jamuhuri ya watu wa...
Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.