Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao. Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanasimba wamekuwa wakidanganyika na viongozi wao wakiwahadaa ati wao ni mabingwa wa community shield, ambao sio kweli Wataambia kesho eti wamekuwa mabingwa wa Muungano ambao sio kweli Wanasimba...
0 Reactions
14 Replies
94 Views
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
11 Reactions
151 Replies
1K Views
Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
1 Reactions
6 Replies
180 Views
Muuza madafu katika Moja na mbili😊
24 Reactions
97 Replies
2K Views
1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine. 2. Kuficha mapato na matumizi...
1 Reactions
3 Replies
24 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
4 Reactions
26 Replies
446 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
838 Replies
33K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
4 Reactions
24 Replies
188 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,877
Posts
49,498,246
Members
666,861
Latest member
Mr Ntinginya
Back
Top Bottom