Wanasimba wamekuwa wakidanganyika na viongozi wao wakiwahadaa ati wao ni mabingwa wa community shield, ambao sio kweli
Wataambia kesho eti wamekuwa mabingwa wa Muungano ambao sio kweli
Wanasimba...
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao.
Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na...
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine.
2. Kuficha mapato na matumizi...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.