Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
167 Replies
7K Views
wakuu wasaalamu. Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine...
4 Reactions
40 Replies
438 Views
After careful review, we have identified statistical distortions and flaws in the benchmarking metrics used ( Taaifa kwa Umma ya Gazeti la The CITIZEN Newspaper ) Yaani nyie Wenyewe Gzeti la THE...
0 Reactions
7 Replies
8 Views
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
1 Reactions
8 Replies
173 Views
Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya nne katika nchi tajiri zaidi barani Afrika na siku 2 zilizopita Kenya imeorodheshwa miongoni mwa masoko makubwa matano tajiri barani Afrika yenye mamilionea na...
2 Reactions
10 Replies
382 Views
Unatamani nini sasa hivi? Mi natamani nyama ya kuchoma au kuokwa,iwe ya motooooo. Bahati mbaya sehemu ambayo naweza kupata ishafungwa saa hizi. Sijui kwanini hii hamu haikunijia mapema. . . ...
3 Reactions
70 Replies
5K Views
Rapa Kanye West amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle ObamaKanye West has revealed his desire to have a threesome with...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
61 Reactions
296 Replies
8K Views
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
7 Reactions
108 Replies
724 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,679
Posts
49,491,276
Members
666,801
Latest member
george izdor
Back
Top Bottom