Wakuu,
Watoto na michezo ni kama samaki na maji, wengi tushazama kwenye michezo mpaka tukaja kufatwa na fimbo huko tulipokuwa. Wakati mwingine mzazi mpaka anapata wasiwasi labda mtoto kapotea...
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
Hiyo sehemu inaonekana ilikua imejengwa sana na imepigwa haswa hadi Umoja wa Mataifa wanasema itachukua miaka 14 kuondoa vifusi...
UN official says it could take 14 years to clear debris in Gaza...
Ndugu wasomi wa Tanganyika... mojakwamoja kwa mda... mimi nina degree ya elimu kifupi ni mwalimu..nataka kusoma icho kitu hapo juu.. vipi wenye mamlaka wanaweza kunibadilisha kutoka kwenye teacher...
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG
Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
Wasaalam wanajamvi,
Katika harakati za uhangaikaji wa hapa na pale nimejikuta nimeyakimbia makazi yangu na kujikuta nipo wilaya jirani ila the same region.Sasa katika moja na mbili za kutafuta...
Salaam, Shalom.
Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk.
Matumizi ya majiko ya...
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini
Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.