Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Hello mambers,
Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom.
Naomba kuuliza maana...
Ndugu najua kabisa mtashangaa ni kwanini hawa wawili au wengine mtasema ni promo au kujitoa akili ila ndivyo ilivyo.
Siku moja natamani sana Depal au Leejay49 awe mama watoto wangu msiniulize ni...
Wakuu
Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa
Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu..
Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye...
Niaje wana gwan?
Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.