Habari zenu wana jamvi!
Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi.
Kisa changu kinaanzia hapa;
Tangu nilipoacha masomo yangu ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo Tarehe 8 May 2024, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu bado yuko Mikoani akihutubia na kufundisha Wananchi kuhusu sheria mbalimbali za Tanzania...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
Wakubwa Habari Zenu Mimi Ni Kijana Wa 30+ Na Hivi Karibuni Natarajia Kupata Mtoto Wa Pili, Majaliwa Ya Mwenyezi Mungu. Haya Tujikite Kwenye Mada Hapo Juu, Kwa Jamii Ninayo Ishi Nimeshuhudia...
Tundu Lissu ameendelea na Mikutano ya Hadhara na leo yupo wilaya ya Mpwapwa ambapo pamoja na mambo mengine amesema tangu atoe hoja zake siku ya Muungano, Aprili 26, 2024, wamekuwepo watu wengi...
Wazanzibari kwa umoja wao wanataka utaifa wao utambulike kimataifa, wanataka sarafu yao, wanataka makabila yao na wanataka ardhi yao.
Wazanzibari wanataka Zanzibar na siyo Dodoma na wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.