Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Simba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi. Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla...
15 Reactions
52 Replies
992 Views
Habari wanajamii forums, ninahitaji wadau waliopo Dubai au China naomba kujua ajira zinazopatikana huko, deals au biashara za kufanya ukiwa uko ili kutengeneza kipato ukiwa huko huko. Pia wadau...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
3 Reactions
32 Replies
917 Views
Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini. Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini...
2 Reactions
14 Replies
46 Views
Jama alikuwa anadanganya sana abiria katika gari. akipaza sauti ya kuonyesha Isreal ina nguvu na kuwadanganya abiria ambao uelewa wao mdogo katika swala hili. Nilipombana kwa hoja agaeuza maneno...
1 Reactions
6 Replies
199 Views
Hiyo sehemu inaonekana ilikua imejengwa sana na imepigwa haswa hadi Umoja wa Mataifa wanasema itachukua miaka 14 kuondoa vifusi... UN official says it could take 14 years to clear debris in Gaza...
1 Reactions
3 Replies
76 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
5 Reactions
44 Replies
547 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,834
Posts
49,496,537
Members
666,841
Latest member
elly sijo
Back
Top Bottom