Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya...
4 Reactions
50 Replies
639 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
67 Reactions
375 Replies
9K Views
Vyombo vya habari zimeripoti mambo mengi ya Muungano lakini wananchi wamekataa kujadili na kusambaza habari njema ya uzima wa Muungano. Mtaani hakuna mtu anahangaika na gwaride wala hotuba watu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni. BEI ZA LOGO 80K= Logo+B Card+Letter head...
12 Reactions
306 Replies
9K Views
Ukitaka vichekesho bila gharama soma Taarifa za Polisi. Katika tukio la hivi karibuni la kupote na Kuuawa kijana Robert Mushi na kishà maiti yake kukutwa Mortuary ya hospitali ya rufaa ya Polisi...
4 Reactions
30 Replies
586 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
MAKALA YA 10 Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo . 1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI Kuna watu...
1 Reactions
2 Replies
35 Views
Hakika penye wengi pana mengi,, kwahiyo tutarajie kukutana na watu wenye tabia tofauti tofauti Kuna watu ambao watakukwaza kwa kutokujua na wengine kwa makusudi kabisa, kuna watu ambao furaha yao...
1 Reactions
6 Replies
68 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,732
Posts
49,492,811
Members
666,806
Latest member
betty12
Back
Top Bottom