“MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WETU.”
Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5...
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi...
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
Wakuu, haya maisha yanafunzo.
Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake!
Mtoto aliniachia mawasiliano...
Hii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au...
Tanzania tuna miaka 63 ya toka tupate uhuru lakini kimaendeleo na kisiasa na kidemokrasia tuko juu, kuliko Haiti iliyopata uhuru miaka 220 iliyopita.
Hongera CCM kwa kuipeleka nchi spidi kali...
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda.
Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists...
Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi...
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.