Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players.
Imepigwa ndani nje
Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10
Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
Kwa mimi binafsi naona
1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik
2. Leonardo wa Cheka Tu
Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu?
Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani.
MZIGO NI MPYA & GENUINE
Pia tunafanya huduma zote ya 🔝...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
"Nina miaka 25 nipo Kigoma. Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi, tangu mwezi wa tisa mwaka 2016 kipindi hicho yeye alikua mwanafunzi so sikutaka kuharibu malengo yake sikuwahi kumuuliza wala...
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.