Wanabodi,
Kufuatia chokochoko ya kuuchokoa Muungano ilioanzishwa na kikundi cha Uamsho huko Zanzibar, na kuungwa mkono na Wazanzibari wasioutakia mema huu Muungano wetu adhimu, zimeanza kutolewa...
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.
Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza.
2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya...
Nadhani wanajamiiforum mmeona aliyosema Tindu lissue leo mpaka TBC wakaamua kukatisha matangazo yao
Lakini inavyoonekana kuwa Tindu Lissu kaja JF kanyofoa data zote za Pasco wa JF kisha kaenda...
Wanabodi,
Prof. Shivji anatoa muhadhara wa kuchochea mawazo na fikra mbadala kuhusu Muungano!. Atoa mambo mazito ambayo huwezi
Sasa watu wanaanza majadiliano!
Hotuba ya Prof. Issa Shivji...
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi!
Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
Wiki ya Maandamano bado inaendelea , ambapo leo imefika Mkoani Mara .
Hapa Mkoani Mara anayeongoza Maandamano haya ni yule yule Mwamba Kabisa Freeman Mbowe
Usiondoke JF kwa vile inatarajiwa...
Wanabodi,
Wakati mchakato wa Bunge la Katiba unaendelea, kumezidi kuibuka mijadala mikali, kuhusu serikali 3 zilizopendekezwa na Tume ya Warioba au kushikilia serikali mbili ambayo ndio sera ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.