Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Grand mark 2 inauzwa million 5( maongezi kidogo yapo) kwa anaehitaji nichek pm
0 Reactions
2 Replies
20 Views
Mafundi simu wanasema pamoja na ufundi ni 45 mpaka 55 elfu.... Sasa me nataka nijue gharama ya kioo chenyewe ili ikiwezekana nibadishe mwenyewe hicho kioo!
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh...
10 Reactions
23 Replies
432 Views
Subaru legacy Kali Sanaa inauzwa cc 1990 ipo dar … million 8M kwa mawasiliano nichek pm
0 Reactions
0 Replies
4 Views
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu. Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
4 Reactions
31 Replies
620 Views
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
10 Reactions
128 Replies
2K Views
Waziri wa Kilimo mh Bashe ameliambia Bunge timu ya wizara yake itamwita Mwekezaji MO Dewji Ili kujua matazamio yake kwenye mashamba aliyouziwa na Serikali kwa Masharti maalumu huko Korogwe Tanga...
1 Reactions
17 Replies
589 Views
Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
0 Reactions
0 Replies
7 Views
Habari Wanajamvi..... Leo katika pita pita zangu, nimejikuta nimefika Dampo la Dar es Salaam lililopo Pugu ~ Kinyamwezi. Huko bana kilichonipeleka ni mihangaiko tu lakini nimetoka na kitu ambacho...
0 Reactions
3 Replies
120 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,789
Posts
49,581,091
Back
Top Bottom