Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
Nimepita mtandaoni huko nimekuta hili shirika limeweka tangazo kwamba kutakuwa na maboresho leo usiku kuanzia saa 6 mpaka tarehe 28.
Maboresho hayo yatahusisha T-PESA, data(mliofunga faiba...
Nimeona taarifa ya Habari, Al Jazeera,wameandika watu wamepoteza maisha nchini,takribani 155.
Sijasikia hizi taarifa Kwa vyombo vyetu vya ndani,hata hapa jukwani,sijaona tatizo Hilo kupewa...
Ni kipindi kirefu kimepita nikiwa nimekwama kuamua yupi ni mahiri zaidi kwenye uandishi wa nyimbo za dini kati ya Bahati Bukuku na Rose Mhando. Kwanza, Hawa wamama wana uwezo wa ajabu katika...
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official...
Kila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa.
Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini?
Je, Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa?
Je, Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu?
Je, Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.