Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanasimba wamekuwa wakidanganyika na viongozi wao wakiwahadaa ati wao ni mabingwa wa community shield, ambao sio kweli Wataambia kesho eti wamekuwa mabingwa wa Muungano ambao sio kweli Wanasimba...
0 Reactions
16 Replies
94 Views
1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine. 2. Kuficha mapato na matumizi...
1 Reactions
4 Replies
24 Views
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna...
62 Reactions
242 Replies
12K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
79 Reactions
543 Replies
13K Views
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi. Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
9 Reactions
94 Replies
2K Views
Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao. Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
11 Reactions
151 Replies
1K Views
Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
1 Reactions
6 Replies
180 Views
Muuza madafu katika Moja na mbili😊
24 Reactions
97 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,877
Posts
49,498,246
Members
666,861
Latest member
Mr Ntinginya
Back
Top Bottom